Education

Sports

Business

Pictures

Games

Video

Blog Archive

About Me

authorHello, my name is Jack Sparrow. I'm a 50 year old self-employed Pirate from the Caribbean.
Learn More →

728x90 AdSpace

Breaking

Fashion

Travel

@templatesyard

نموذج الاتصال

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *

Movies

Recent Videos

  • Latest News

    Slider

    News

    Music

    Games

    Adbox

    Recent

    Follow Us

    Link

    LightBlog

    15 February 2017

    India yaweka rekodi kwa kurusha satelaiti 104

      Unknown       15 February 2017
    Sriharikota Oktoba 2013
    India imeweka rekodi mpya kwa kuwa taifa lililorusha setilaiti nyingi angani kwa wakati mmoja baada ya kurusha setilaiti 104 kwa pamoja.
    Rekodi ya awali iliwekwa na Urusi mwaka 2014, ambayo ilikuwa setilaiti 37.
    Kati ya setilaiti hizo zilizorushwa India, ni tatu pekee ambazo ni za taifa hilo. Nyingi ni za Marekani.
    Setilaiti hizo zilirushwa kutoka kituo cha safari za anga za juu cha Sriharikota katika eneo la Andhra Pradesh mashariki mwa India.
    Wachanganuzi wanasema ufanisi huo ni ishara kwamba India imeanza kuibuka kuwa mhusika mkuu katika sekta ya safari za anga za juu yenye thamani ya mabilioni ya dola.
    Kati ya setilaiti 104 zilizorushwa kutoka India, 96 ni za Marekani na hizo nyingine ni za kutoka mataifa mengine yakiwemo Israel, Kazakhstan, Umoja wa Milki za Kiarabu, Uswizi na Uholanzi.
    Setilaiti ya ramani ya India, ambao inaaminika kuwa na uwezo wa kupicha picha za ubora wa hali ya juu sana kutoka angani, ni miongoni mwa setilaiti zilizorushwa angani.
    Setilaiti hiyo inatarajiwa kutumiwa na India kufuatilia shughuli za washindani wake katika bara la Asia - Pakistan na China.
    Roketi ya PSLV-C37 Sriharikota, Andhra Pradesh, India, 13 Februari 2017
    Mwandishi wa BBC Sanjoy Majumder mjini Delhi anasema ufanisi huo ni jambo jingine la kujivunia kwa India katika azma yake ya kuwa na ushindani kama taifa linalotoa huduma ya bei nafuu ya safari za anga za juu.
    Serikali ya India iliongeza bajeti yake kwa mpango wake wa anga za juu mwaka huu na pia ikatangaza mpango wa kutuma chombo sayari ya Zuhura (Venus)

    SOURCE BBC NEWS
    logoblog

    Thanks for reading India yaweka rekodi kwa kurusha satelaiti 104

    Previous
    « Prev Post

    No comments:

    Post a Comment