Education

Sports

Business

Pictures

Games

Video

Blog Archive

About Me

authorHello, my name is Jack Sparrow. I'm a 50 year old self-employed Pirate from the Caribbean.
Learn More →

728x90 AdSpace

Breaking

Fashion

Travel

@templatesyard

نموذج الاتصال

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *

Movies

Recent Videos

  • Latest News

    Slider

    News

    Music

    Games

    Adbox

    Recent

    Follow Us

    Link

    LightBlog

    15 February 2017

    Ripoti: ‘Asilimia 40 hawajajiunga sekondari’

      Unknown       15 February 2017

    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof.
    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako 

    Dar es Salaam. Imebainika kuwa asilimia 40 ya watoto wanaotakiwa kusoma sekondari wameshindwa kutokana na vikwazo mbalimbali licha ya kuwapo kwa sera ya elimu bure.
    Ripoti yenye jina la ‘nilikuwa na ndoto za kumaliza shule’ iliyotolewa na Shirika la Kimataifa la Haki za Binadamu (Human Rights Watch) Dar es Salaam jana, imetaja vikwazo hivyo kuwa ni pamoja na sera zilizopitwa na wakati na hali ngumu ya maisha.
    Mtafiti wa haki za watoto wa shirika hilo, Elin Martinez amesema katika utafiti huo walioufanya mwaka 2016 waliwahoji wanafunzi 220 wa shule za sekondari, vijana ambao hawapo shuleni, wazazi, wataalamu wa elimu, wanaharakati na maofisa wa Serikali na kugundua kuwa zaidi ya watoto milioni 1.5 wamekosa elimu ya sekondari.

    logoblog

    Thanks for reading Ripoti: ‘Asilimia 40 hawajajiunga sekondari’

    Previous
    « Prev Post

    No comments:

    Post a Comment