Education

Sports

Business

Pictures

Games

Video

Blog Archive

About Me

authorHello, my name is Jack Sparrow. I'm a 50 year old self-employed Pirate from the Caribbean.
Learn More →

728x90 AdSpace

Breaking

Fashion

Travel

@templatesyard

نموذج الاتصال

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *

Movies

Recent Videos

  • Latest News

    Slider

    News

    Music

    Games

    Adbox

    Recent

    Follow Us

    Link

    LightBlog

    15 February 2017

    Katibu mkuu wa NATO azitaka nchi wanachama kuongeza bajeti ya ulinzi

      Unknown       15 February 2017
    Taarifa ya Habari za Ulimwengu kutoka AFRICA HEADLINE


    Katibu mkuu wa shirika la umoja wa kujihami la NATO Jens Stoltenberg anayataka mataifa wanachama kuongeza matumizi yao ya ulinzi katika mkesha wa mkutano wa kwanza kati ya waziri mpya wa ulinzi wa Marekani Jim Mattis na mawaziri wenzake wa mataifa 27 wanachama mjini Brussels.Stoltenberg alisema leo kwamba ugawanaji uliosawa wa mzigo ongezeko la matumizi katika bajeti za ulinzi ni vitu vitakavyoimarisha umoja huo katika ya mataifa hayo yanayopakana na bahari ya Atlantic. Rais wa Marekani Donald Trump alidokeza wakati wa kampeni ya uchaguzi kwamba huenda asiweze kuyalinda mataifa washirika ambayo yatakataa kuchangia kiasi kinachohitajika kutoka kwao. Matamshi yake yameyashitua mataifa ya Ulaya , hususan yake yaliyoko karibu na mpaka na Urusi kama mataifa ya eneo la Baltic na Poland. wakati huo huo washirika wa NATO wa mataifa ya Ulaya na Canada wameongeza matumizi yao ya ulinzi kwa asilimia 3.8 mwaka jana , ama dola bilioni 10 zaidi kuliko mwaka 2015.
    logoblog

    Thanks for reading Katibu mkuu wa NATO azitaka nchi wanachama kuongeza bajeti ya ulinzi

    Previous
    « Prev Post

    No comments:

    Post a Comment