Chelsea ilipoteza fursa ya kuongzoa kwa pointi 12 katika jedwali laa ligi baada ya kutoka sare ya bao moja na Burnley.
Chelsea waliitawala mechi na ndio walikuw wa kwanza kuona lango la Burnley dakika ya 7 baada ya kuanza kwa mechi.
Hata hivyo Robbie Brady ambaye aliihama Norwich mwezi Januari alisawasisha dakika ya 24.
Matokeo ya mechi hiyo yanaiweka Chelsea mbele na kufungua mwanya ya pointi 10 na Tottenham katika jedwali la ligi
No comments:
Post a Comment