Mazungumzo bain aya upinzani na serikali kusimamishwa hadi baada ya mazishi ya kiongozi wa kihistoria wa upinzani DR Congo
Etienne Tshisekedi kiongozi wa kihistoria wa upinzani Jamhuri ya
kidemokrasia ya Congon alifariki akiwa na umri wa mika 84 nchini
Ubelgiji.
Kiongozi huyo aliteuliwa na baraza la kitaifa ambalo lilipewa jukumu
la ufuatiliaji wa uongozi wa mpito kabla ya kuandaliwa kwa uchaguzi.
Serikali na upinzani kwa ushirikiano na tume ya upatanishi kunako mzozo
wa kisiasa wamefahamisha kusimamisha mvutano wakisubiri kumalizika kwa
mazishi ya Etienne Tshisekedi aliefariki Februari 1 nchini Ubelgiji.
No comments:
Post a Comment