Education

Sports

Business

Pictures

Games

Video

Blog Archive

About Me

authorHello, my name is Jack Sparrow. I'm a 50 year old self-employed Pirate from the Caribbean.
Learn More →

728x90 AdSpace

Breaking

Fashion

Travel

@templatesyard

نموذج الاتصال

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *

Movies

Recent Videos

  • Latest News

    Slider

    News

    Music

    Games

    Adbox

    Recent

    Follow Us

    Link

    LightBlog

    13 February 2017

    Peru yamtaka Trump kumsalimisha rais Toledo

      Unknown       13 February 2017


    Picture from 17 June, 2016 shows former Peruvian President Alejandro Toledo speaking during a discussion on in WashingtonHaki miliki ya pichaAFP
    Image captionToledo aliongoza Peru kuanzia 2001 hadi 2006
    Rais wa Peru Pedro Pablo Kuczynski ametoa wito kwa rais wa Marekani Donald Trump kumsalimisha rais wa zamani wa Peru Alejandro Toledo ambaye anatakiwa kujibu mashtaka nchini Peru.
    Bw Toledo, ambaye inaaminika kwa sasa yupo mjini San Francisco, anatuhumiwa kupokea rushwa ya jumla ya $20m (£16m).
    Amekanusha tuhuma hizo.
    Kupitia njia ya simu Jumapili, Bw Kuczynski alimuomba Bw Trump "kutathmini" hali hiyo.
    Kufikia sasa, juhudi za kumkamata Bw Toledo zimekwama kutokana na changamoto za kisheria.
    Marekani imesema haiwezi kumkamata kiongozi huyo wa zamani hadi maelezo zaidi kuhusu kesi inayomkabili yawasilishwe kwake na maafisa wa Peru.
    Maafisa nchini Peru, ambao waliomba akamatwe wiki iliyopita, wanahofia kwamba huenda akaondoka Marekani na kwenza Israel.
    Hata hivyo, Israel imesema haitamruhusu kuingia nchini humo.

    Bw Toledo kwa sasa ni profesa mgeni katika Chuo Kikuu cha Stanford.
    Mkewe Eliane Karp, ana uraia wa Usrael.
    Bw Toledo aliongoza Peru kuanzia 2001 hadi 2006 na ametuhumiwa kupokea rushwa kutoka kwa kampuni ya ujenzi ya Brazil ya Odebrecht ndipo asaidie kampuni hiyo kupata kandarasi ya kujenga barabara kuu ya kuunganisha Peru na Brazil.
    Alejandro ToledoHaki miliki ya pichaAFP
    Image captionJaji mmoja Peru aliamua Bw Toledo anafaa kufungwa jela kwa hadi miezi 18
    Zawadi ya $30,000 (£24,000) imeahidiwa yeyote atakayetoa habari zitakazosaidia kukamatwa kwa Bw Toledo.
    Wizara ya mambo ya nje ya Israel imesema Bw Toledo hataruhusiwa kuingia nchini humo hadi "masuala yanayomhusu Peru yahitimishwe."
    Alejandro ToledoHaki miliki ya pichaREUTERS
    Image captionZawadi ya $30,000 (£24,000) imeahidiwa yeyote atakayetoa habari zitakazosaidia kukamatwa kwa Bw Toledo.
    logoblog

    Thanks for reading Peru yamtaka Trump kumsalimisha rais Toledo

    Previous
    « Prev Post

    No comments:

    Post a Comment