Education

Sports

Business

Pictures

Games

Video

Blog Archive

About Me

authorHello, my name is Jack Sparrow. I'm a 50 year old self-employed Pirate from the Caribbean.
Learn More →

728x90 AdSpace

Breaking

Fashion

Travel

@templatesyard

نموذج الاتصال

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *

Movies

Recent Videos

  • Latest News

    Slider

    News

    Music

    Games

    Adbox

    Recent

    Follow Us

    Link

    LightBlog

    13 February 2017

    Maelfu watakiwa kuhama California kwa sababu ya bwawa

      Unknown       13 February 2017
    Bwawa la Oroville
    Watu zaidi ya 130,000 kaskazini mwa jimbo la California wametakiwa kuhama makazi yao baada ya bwawa refu zaidi Marekani kukabiliwa na hatari ya kubomoka.
    Mtaro wa kupitisha maji wakati wa dharura katika bwawa la Oroville unaweza kuporomoka wakati wowote, maafisa wamesema.
    Mtaro huo umedhoofishwa sana na mvua kubwa iliyonyesha eneo hilo.
    Wahandisi waligundua kwamba vipande vikubwa vya saruji vilikuwa vimebambuka kutoka kwenye mtaro wa kuondosha maji kwenye bwawa hilo.
    Watu wanaoishi katika maeneo ambayo huenda hakakumbwa na amfuriko bwawa hilo likiporomoka wametakiwa kuhama mara moja.
    Viwango vya maji katika bwawa hilo vimepanda sana kutokana na mvua kubwa pamoja na theluji, baada ya miaka mingi ya kiangazi Valifornia.
    Ni mara ya kwanza kwa Ziwa Oroville kukumbwa na dharura ya aina hiyo katika miaka 50 tangu kujengwa kwa bwawa hilo.

    Idara ya maji na maliasili katika jimbo la California ilisema Jumapili kwamba inaachilia karibu futi 100,000 mche mraba (mita 2,830 mche mraba) kila sekunde kupitia mtaro mkuu wa kuondosha maji kwenye bwawa hilo kujaribu kupunguza kiwango cha maji kwenye bwawa hilo.

    Oroville
    Oroville
    aarifa iliyopakiwa kwenye mitandao ya kijamii iliwataka wakazi kuhama na kuwaonya kwamba tangazo hilo halikuwa majaribio ya kukabili dharura.

    logoblog

    Thanks for reading Maelfu watakiwa kuhama California kwa sababu ya bwawa

    Previous
    « Prev Post

    No comments:

    Post a Comment