Education

Sports

Business

Pictures

Games

Video

Blog Archive

About Me

authorHello, my name is Jack Sparrow. I'm a 50 year old self-employed Pirate from the Caribbean.
Learn More →

728x90 AdSpace

Breaking

Fashion

Travel

@templatesyard

نموذج الاتصال

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *

Movies

Recent Videos

  • Latest News

    Slider

    News

    Music

    Games

    Adbox

    Recent

    Follow Us

    Link

    LightBlog

    11 February 2017

    Taarifa ya Habari za Ulimwengu kutoka Africa Headline

      Unknown       11 February 2017
    default
    Marekani imezuia uteuzi wa aliyekuwa Waziri Mkuu, wa Wapalestina Salam Fayyad kuwa mjumbe mpya wa Umoja wa Mataifa kwa Libya. Balozi wa Marekani Nikki Haley amesema kupitia taarifa kuwa hakuunga mkono ishara ambayo uteuzi huo ungesababisha katika Umoja wa Mataifa ambako taifa la Palestina halina uanachama kamili. 
    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres alikuwa amelifahamisha baraza la Usalama nia yake ya kumtaja Fayyad kuongoza Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya na asaidie kusimamia mazungumzo ya amani kuhusu makubaliano ya kisiasa yananayoyumba. Haley amesema Marekani imevunjika moyo kuona barua kutoka kwa Guterres, huo ukiwa uteuzi wake wa kwanza wa mjumbe katika eneo linalokabiliwa na vurugu kubwa. Wapalestina wameshutumu vikali hatua hiyo ya Marekani na kuitaja kuwa ni ubaguzi wa hadharani. Fajad aliye na umri wa miaka 64 alikuwa Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Wapalestina kwanzia mwaka 2007 hadi 2013
    logoblog

    Thanks for reading Taarifa ya Habari za Ulimwengu kutoka Africa Headline

    Previous
    « Prev Post
    Oldest
    You are reading the latest post

    No comments:

    Post a Comment